Ndugu mwombaji wa USRAP,
Hii ni eneo katika mtandao liitwalo RSC Africa�s My case , litakalo kuwezesha kupata habari kuhusu ombi lako la ukimbizi katika nchi ya tatu ya Marekani. Tumia ukurasa uliowekwa kushoto ili kupata habari kuhusu kesi yako inavyoendelea.
Unapaswa kuwa ulishapewa neno la siri na mfanyakazi wa RSC Africa (mtengenezaji wa kesi) uliyefanya naye intavyu yako ya kwanza. Kama umesahau neno lako la siri au ungependa kulibadirisha , tafadhali bonyeza � ombi la kubadili neno la siri.�
Kama una maswali ya ziada kuhusu kesi yako au mpango wa usajili wa wakimbizi nchini Marekani (USRAP), unaweza kuandika kupitia
case@CWSAfrica.org. RSC Afrika itajitahidi kujibu maswali yako kwa muda wa siku tano za kazi.
Programu ya kupeleka wakimbizi nchini Marekani ni bure. Ripoti yeyote atakaye kuitisha rushwa kwa
Fraud@CWSAfrica.org